Kamishna wa
Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (Tacaids), Daniel Machemba katikati
akikata utepe kaushiria uzinduzi wa mabango ya kuelimisha Ukimwi na
masuala mbalimbali ya kuwajengea uwezo vijana yatakayosambazwa katika
vyuo vikuu mbalimbali na Shirika la Vijana Tayoa. Anayefuata kulia ni
kamishna mwingine Diana Chilolo, Mkurugenzi wa Tayoa Peter Masika.
Kulia ni Mhadhiri wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha IFM, Emmanuel Mushi na
Kamishna wa Tacaids, Faraja Kotta Nyalandu.
Kamishna wa
Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi, Diana Chilolo akimkabidhi zawadi
Mhadhiri wa Chuo cha IFM, Emmanuel Mushi kwa chuo hicho kushirikiana na
Shirika la Vijana tayoa katika mapambano dhidi ya Ukimwi. Nyuma yake
ni kamishna mwingine, Faraja Kotta Nyalandu, Kamishna Daniel Machemba na Mkurugenzi Mkazi wa Tayoa Peter Masika.
Kamishna wa
Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi, Diana Chilolo akimkabidhi zawadi
Mhadhiri wa Chuo cha IFM, Emmanuel Mushi (mbele shati la bluu) kwa chuo
hicho kushirikiana na Shirika la Vijana tayoa katika mapambano dhidi
ya Ukimwi. Pembeni yake ni kamishna mwingine, Faraja Kotta Nyalandu,
Kamishna Daniel Machemba na Mkurugenzi Mkazi wa Tayoa Peter Masika.
No comments:
Post a Comment