Msanii anayetamba na nyimbo ya Mwana, Alikiba!
Akizungumza na jarida moja la burudani kiba aliyetoa nyimbo mbili mpya hivi karibuni alisema
kuwa kati ya watoto hao mmoja anaishi nae, wa pili yupo Dar es salaam
na mama yake na wa tatu anaishi Uingereza na mama yake.
No comments:
Post a Comment