welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Monday, 13 October 2014

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI JIJINI DAR

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa na Menaja Mradi wa NSSF Mhandisi Karim Mattaka kulia yake na afisa wa Mfuko huo Bibi Maryam Muhaji wakikagua ujenzi wa Daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam unaoendelea hivi sasa.
Balozi Seif akipata maelezo ya ujenzi wa daraja la Kigambnoni kutoka kwa wahandisi wa ujenzi huo wakati alipotembelea mradi huo.
Muonekano wa daraja la kigamboni unavyoonekana ukiendelea ya ujenzi wake chini ya wahandisi kutoka Kampuni ya Kimataifa ya Ujenzi wa Madaraja kutoka Jamuhuri ya watu wa china ya China Mager Bridges.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiwa pamoja na watendaji wa mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii Tanzania { NSSF } wakiangalia mazingira ya eneo linalojengwa nyumba za mkono nafuu unaofanywa na mfuko huo.
Meneja wa usimamizi wa ujenzi wa nyumba za mkopo nafuu kutoka mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii Tanzania Mhandisi Msemo akimpatia maelezo Balozi Seif wakati alipofanya ziara kukagua ujenzi wa nyumba za mkopo nafuu. Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ.

No comments: