welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Thursday, 25 February 2016

Keyshia Cole alikutana na 2 Pac akiwa na miaka 14,mpango wao ulikuwa huu.

keyshia
Keyshia Cole alizaliwa kwenye mji wa Oakland, California na muda wake wa ujana alitumia kujifunza kuimba, marafiki wa Keyshia walimtambulisha kwa MC Hammer akiwa na miaka 12 tu na kutaka kuimba naye.

Keyshia baadae alijenga urafiki na 2 Pac ambaye alimwambia atamsaidia kwenye kumjenga kimuziki. Usiku wa kupigwa risasi kwa Tupac Shakur, alimwambia atengeneze kiitikia cha wimbo wake na atakitumia.
Akiwa na miaka 18 Keyshia Cole alihamia mjini Los Angeles  na kuanza kufanya kazi na wasanii kama D’Wayne Wiggings  wa  Tony Toni Tone na Messy Marv.
Mwaka 2002, alitambulishwa kwa A&M Records A&R Ron baada ya boss wa lebel hio kusikia wimbo wake wa “Love” ukiwa bado hujakamilika, ila ulivyokamilika ulikuwa wimbo wa kwanza wa Keyshia kuuza kopi milioni 1.

No comments: