welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Wednesday 12 November 2014

KAJALA AJUTA KUPIGA MITUNGI! KISA?!


Msanii wa Muvi Bongo Kajala MasanjaKAJALA Masanja, amefunguka kuwa anajuta kunywa pombe baada ya kumsababishia maumivu makali hivi karibuni. Kajala ambaye anakimbiza kunako anga la filamu Bongo, amesema anasumbuliwa na ugonjwa wa vidonda vya tumbo sasa siku hiyo alikunywa sana pombe na kujikuta akipata maumivu makali tumboni.

“Najuta mwenzenu siku ile kunywa pombe maana maumivu niliyoyapata sitayasahau, nafikiri huu ndiyo utakuwa mwisho wangu kunywa pombe,” alisema Kajala.

No comments: