
chini. Kuna habari zinaenea kwa kasi katika mitando ya kijamii ya kwamba ,mwenye mafundisho tata ,Ndungu Munuo,aka Adamu wa Pili, Nabii Eliya, Bwana wa Majeshi, Mjumbe wa Mapenzi ya Mungu wa Kizazi cha Nne, Amefariki Dunia jana usiku, Mpaka sasa hakuna tangazo rasmi la Kanisa la Siloam. Sitofahamu hiyo inatokana na kutokuwa na taarifa za uwazi za kifo chake. kutokana na sintofahamu hiyo blog hii ilifanya mawasiliano na mmoja wa washirika wake kutaka kujua uharisia wa jambo hilo Kwa mujibu ya Mshirika niliyeongea nae amesema kuwa nabii Elia amelala na wala

No comments:
Post a Comment