MENINA AFUNGUKA KUHUSU TETESI ZA KUWA NA MIMBA YA DIAMOND PLATINUMZ!
Meninah
ambaye ni zao kutoka Bongo Star Search miezi michache iliyopita
ameripotiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Diamond Platnumz
hukumwenyewe akikana mara kadhaa kila anapopata nafasi ya kulizungumza
hili.
Kupitia kisehemu cha You heard kwenye kipindi
cha XXL Soudy Brown amekuja na stori inayohusu hali inayosemekana anayo
kwa sasa Meninah kwa kile kinachosemwa ana ujauzito wa Diamond
Platnumz. PICHA ZAIDI>>
No comments:
Post a Comment