Lady Jaydee hajabadilisha jina la lounge
yake kutoka Nyumbani Lounge hadi MOG peke yake. Machozi Band kwa sasa
nayo itakuwa ikijulikana kama ‘Lady Jaydee and the Band!’“Tumeondoa
kulia,” Lady Jaydee amekiambia kipindi cha Power Jams cha East Africa
Radio.
Katika hatua nyingine Jaydee amezungumzia wimbo wake mpya ‘Forever’ aliomshirikisha mdogo wake Dabo. Wimbo huo umetayarishwa na Man Walter wa Combination Sound
No comments:
Post a Comment