Askofu Mkuu wa Huduma na Ngurumo ya Upako, George David ‘Geor Davie’.
Askofu Mkuu wa Huduma na Ngurumo ya Upako, George David ‘Geor Davie’
yenye makao makuu yake jijini Arusha ndiye aliyetajwa na mahakama hiyo
kuwa ni chanzo cha kuvunjika kwa ndoa hiyo ya Pamella ambaye alikuwa ni
sekretari wa kiongozi huyo wa dini baada ya ujumbe mfupi wa maneno (SMS)
ukionesha mapenzi kunaswa kwenye simu ya mwanamke huyo ukitokea kwa
Geor Davie.
KIMENUKA! Ndoa iliyodumu kwa miaka 15 kati ya Wiston Lotta (52) na
Pamella Geofrey (40) imevunjwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha
kufuatia ushahidi mzito uliotolewa mahakamani hapo kumridhisha Hakimu
Hawa Mghuruta.Askofu Geor Davie akiwa na wasaidizi wake. Ushahidi uliotolewa na
mwanaume ulidai kuwa mgogoro wa ndoa yake ulitokana na mkewe kuwa na
uhusiano wa kimapenzi na Askofu Geor Davie.
No comments:
Post a Comment