Jennifer
na Shakira ndiyo wamekuwa wakishindanishwa na mashabiki wao na kitendo
cha kuwa timu tofauti kimefanya mashabiki wao kuingia kwenye ushindani
pia.
Kila upande umekuwa ukitumia picha zao kuzungumzia mechi hiyo.
Katika mitandao ya kijamii, picha zao zimejaa lukuki.
Ushindani wa mechi hiyo, huwa mkubwa kuliko wa nyingine yoyote ya soka duniani.
No comments:
Post a Comment