Martin Kadinda wakati akiwa na Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’.
Stori: Mayasa MariwataImekaa poa sana! Ubuyu
kutoka Hong Kong, China unadai kwamba mbunifu wa mavazi Bongo, Martin
Kadinda hivi karibuni alimfuata Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack
Patrick’ gerezani aliyefungwa nchini humo kwa msala wa kukamatwa na
madawa ya kulevya. Habari
kutoka kwa mtu wa karibu wa Kadinda ambaye ni meneja wa Wema Isaac
Sepetu zilidai kwamba katika safari yake nchini humo, alifuatana na Wema
na Petit Man.
Mbunifu wa mavazi Bongo, Martin Kadinda akipozi.
“Kadinda
amepongezwa sana kwa hatua yake hiyo, kuhusu kama alionana naye au
alichoongea naye, tusubiri arudi maana bado yupo China,” alisema rafiki
wa mmiliki huyo wa lebo za mavazi za Single Button na Kwachukwachu.
No comments:
Post a Comment