Wazungumzaji
wakuu kutoka kulia ni Prof Safari-Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa,
Salim Mwalimu-Naibu katibu mkuu CHADEMA-Zanzibar(Kulia) na Dr Wilbroad
Slaa-Katibu mkuu CHADEMA Taifa (Katikati), Mch Peter Msigwa-Mbunge wa
Jimbo la Iringa mjini na Patrick Ole Sosopi-Makamu Mwenyekiti BAVICHA.
Hawa ni wananchi wa manispaa ya Iringa waliojitokeza kwenye mkutano huo
Picha na Mathias Canal
No comments:
Post a Comment