Mgeni Rasmi, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akihutubia wakati wa hafla
ya kutafuta uwezo wa Kununua Vitabu 2,500 vyenye thamani ya shilingi
milioni 218, kwa ajili ya kusaidia shule 10 msingi na Sekondari za
Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam ya Shirika Lisilo la Kiserikali lijulikanalo kama Nkwamira Sustainable Life Trust, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Serena jana usiku Oktoba 10, 2014 jijini Dar es Salaam. NHC imechangia kiasi cha shilingi milioni 12, na imeahidi kujenga madarasa mawili katika shule ya msingi Saku iliyopo Mbagala.
Azim
Jamal ambaye ni mwanzilishi na mkurugenzi wa Corporate Sufi Worldwide
Inc kampuni inayojishughulisha na kusaidia wadau na makampuni kupata
stahiki katika kazi zao,na ni mwandishi wa vitabu mbalimbali
vilivyotafsiriwa katika lugha 10, akizungumza katika hafla hiyo jana.
Mwenyekiti wa Bodi ya Madini nchini, Richard Kasesela akizungumza wakati wa hafla
ya kutafuta uwezo wa Kununua Vitabu 2,500 vyenye thamani ya shilingi
milioni 218, kwa ajili ya kusaidia shule 10 msingi na Sekondari za
Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam, ya Shirika Lisilo la Kiserikali lijulikanalo kama Nkwamira Sustainable Life Trust
Wadau
waliofika katika hafla hiyo jana katika hoteli ya Serena Jijini Dar es
Salaam wakifuatilia mazungumzo ya wageni waliofika katika hafla hiyo
Muongozaji wa sherehe hiyo maarufu kama MC Luvanda, Anthony Luvanda akiinua picha juu kuinadi kwenye hafla hiyo ya uchangiaji kwaajili ya kuwezesha watoto kupata vitabu vya kusoma.
Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma na Huduma kwa Jamii cha Shirika la
Nyumba la Taifa, Susan Omari akifuatilia jambo katika hafla
ya kutafuta uwezo wa Kununua Vitabu 2,500 vyenye thamani ya shilingi
milioni 218, kwa ajili ya kusaidia shule 10 msingi na Sekondari za
Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akijadiliana
jambo na Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai, Omari Mjenga kwenye hafla
hiyo.
Wadau
waliofika katika hafla hiyo jana katika hoteli ya Serena Jijini Dar es
Salaam wakifuatilia mazungumzo ya wageni waliofika katika hafla hiyo
Wadau
Abdul Njaidi na mwenzie wakifuatilia jambo katika hafla hiyo jana
katika hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam wakifuatilia mazungumzo ya
wageni waliofika katika hafla hiyo
Wanafunzi
wa Shule ya Msingi Saku wakitoa ushuhuda wao wa namna wanavyopata shida
kupata elimu katika shule yao hiyo ambapo walisema wengi wao wanakaa
chini na vitabu na madarasa hayatoshi.
Kikundi
cha burudani cha Dar Choral Society wakitumbuiza muziki laini katika
hafla hiyo jioni ya jana kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Kikundi cha burudani cha Dar Choral Society wakitumbuiza katika hafla
hiyo jioni ya jana kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Kikundi cha burudani cha Dar Choral Society wakitumbuiza katika hafla
hiyo jioni ya jana kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Meneja
wa Uendelezaji Biashara wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), William
Genya, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma na Huduma kwa Jamii cha
Shirika la Nyumba la Taifa, Susan Omari na Msaidizi wa Mkurugenzi Mkuu,
Veronica Mtemi wakifuatilia hafla hiyo.
Mgeni rasmi katika hafla hiyo Nehemia Kyando Mchechu na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Nkwamira ,Noreen Mazalla wakifuatilia hafla hiyo
Wadau
waliofika katika hafla hiyo jana katika hoteli ya Serena Jijini Dar es
Salaam wakifuatilia mazungumzo ya wageni waliofika katika hafla hiyo.
Mgeni
rasmi Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando
Mchechu akipokea hundi ya Shilingi milioni saba iliyotolewa na Benki ya
KCB jana jioni.
Mgeni
rasmi Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando
Mchechu akipokea hundi ya Shilingi milioni saba iliyotolewa na Benki ya
KCB jana jioni.
No comments:
Post a Comment