
kwanza katika chuo cha Uhasibu TIA Mkoani Singida amenusurika kufa baada ya jaribio la kutaka kujiua kwa kujichoma na kisu kushindikana,tukio hilo limetokea jana baada mwanafunzi huyo kumfumania mpenzi wake wa kiume akiwa na mwanamke mwingine.....sasa ni hivi huyu mwanafunzi akitoka hospt unaweza kumshauri vipi ili asirudie kufanya kitendo hicho??maana huwezi kujua labda bado anayo dhamira ya kujimalizia......ila wanaume mnapata dhambi sana kwa Mungu dah!hivi mwanaume akiwa na mwanamke mmoja itakuwaje??au ataonekana mshamba??....yaani tangu jana niliwaza hili tukio mpk basi...dwah ngachoka mie!!
No comments:
Post a Comment