Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr.
Servacius Likwelile akiwa na ujumbe kutoka Tanzania wakiwa tayari
kutiliana saini mkataba wa makubaliano ya mradi wa maji katika Wilaya ya
Same na Mwanga. Aliye kushoto kwake ni Eng. Yousef I. Al-Bassam ambaye
ni Makamu wa Mwenyekiti na Mkurugenzi Msimamizi wa mfuko wa maendeleo
wa Saudia.Fedha hizo zimetoka BADEA.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr.
Servacius Likwelile akitia saini makubaliano ya mradi wa maji katika
Wilaya ya Same na Mwanga. Aliye kushoto kwake ni Eng. Yousef I.
Al-Bassam ambaye ni Makamu wa Mwenyekiti na Mkurugenzi Msimamizi wa
mfuko wa maendeleo wa Saudia. Aliyeko kulia ni Bi. Suzan Mkapa,
Mkurugenzi wa sheria kutoka Wizara ya Fedha.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr.
Servacius Likwelile na Eng. Yousef I. Al-Bassam ambaye ni Makamu wa
Mwenyekiti na Mkurugenzi Msimamizi wa mfuko wa maendeleo wa Saudia,
wakibadilishana mikataba hiyo baada ya kutiliana saini.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr.
Servacius Likwelile na Eng. Yousef I. Al-Bassam ambaye ni Makamu wa
Mwenyekiti na Mkurugenzi Msimamizi wa mfuko wa maendeleo wa Saudia,
wakiionyesha mikataba hiyo kwa waliohudhuria sherehe hiyo baada ya
kutiliana saini.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr.
Servacius Likwelile na Eng. Yousef I. Al-Bassam ambaye ni Makamu wa
Mwenyekiti na Mkurugenzi Msimamizi wa mfuko wa maendeleo wa Saudia,
wakicheka na kugonga kwa furaha baada ya kukamilisha shughuli ya
kusainiana mkataba wa kuweka mradi wa maji wilayani Same na Mwanga.
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA FEDHA
TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
WILAYA YA SAME NA MWANGA YAPATA KIASI CHA
SHILINGI BILIONI 56.10KUTOKA MFUKO WA MAENDELEO YA UCHUMI WA KUWAIT.
KatibuMkuuwaWizarayaFedhanaMlipajiMkuuwaserikaliDr. ServaciusLikwelile,mchanawaleoametilianasainimakubalianoyamkatabawakuanzishaMradiwaMajikatikaWilayaya
Same naMwanga. Dr.
LikwelilealisainiMkatabahuokwaniabayaSerikaliyaJamhuriyaMuunganowa Tanzania naMfukowamaendeleoyauchumiwaKuwait
.AliyewakilishaMfukohuoniBw. Abdulwahab A. Al- Bader ambayeniMkurugenziMkuuwaMfuko.
AidhakatikakutilianasainiMkatabahuo
Dr. LikwelilealimuelezaBw. Abdulwahab A. Al- Baderkuwa, Serikaliya Tanzania
inatambuakuwamfukoumetoaDolazaKimarekanimilioni 34.0 sawanashilingiBilioni
56.10 zaKitanzaniakwaajiliyakusaidiamradiwamajikatikaWilayaya Same naMwanga. Hivyoinatoashukranizakezadhatikwanchiya
Kuwait nahasakwamfukohuuwamaendeleoyakiuchumi.
“MsaadahuutulioupataleoutaisaidiaSerikalikutatuatatizo
la majikatikawilayaya Same naMwanga, hiiinaonyeshanijinsiganimfukohuuwa Kuwait
unavoungamkononakutekelezajukumuzima la
kushirikikatikamasualayakijamiinayakiuchumikwanchiyetuya Tanzania,
hivyotunaombamuendeleekutusaidia”. Alisema Dr. Likwelile.
Dr.
LikwelilealimuelezaBw. Abdulwahab A. Al- Bader kuwa,
kamaanavyofahamugharamazamapendekezoyamradimzimaniDolazaKimarekani million 110.43 nahiiinahitajiuchangiajikutokakatikamifukominginekama
BADEA, mfukowamaendeleowaSaudia , MfukowaKimataifawa OPEC naSerikalikuchangiafedhakusaidiamradihuu. Kwa
hilisinawasiwasi nalo
kwanininafurahakujuakwambaumeshakubalianananinaujasirikuwajitihadazakozitafanikiwa.
“Mradihuuwamajiwqwilayaya
Same
naMwangaunalengakusaidiakuwepokwamajikwenyejamiimbalimbalizilizopokwenyemradihuo.”
AliongezaDr.Likwelile.
Aliendeleakusemakuwa,mradihuoutakapokamilika:
(i)
utaongezakiwango cha watuwengikuwezakupatamajisafinasalamayakunywa.
(ii)
Uchumiwa Same
naMwangautaimarikapamojanahaliyaafyakwajamiinayoitakuwaimarahasakwamaeneoyaleyanayoguswanamradi.
(iii)
Hali yamaishayawatuwa Same naMwangaitainuka.
“Mafanikioyaukamilishajiwamradihuunimuhimusanakwauchumiwajamiinamaisha
bora kwawatuwawilayaya Same naMwanga”. AlisemaLikwelile.
Dr.
Likweliliealimaliziakwakusemakuwa“Tanzaniana Kuwait nimarafikiwamudamrefusana,
hivyotutazidikushirikiananakuhakikishakilakitukinaendasawa”.
Imetolewana:
IngiahediMduma
Msemaji
WizarayaFedha
Washington
D.C
11/10/2014
No comments:
Post a Comment