Kazi ya kuandika katiba ya Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania imeanza rasimi leo baada ya kumazilika kwa hatua ya
wabunge kutoa michango yao hapo jana.
Kazi hiyo itakuwa ikitekelezwa na kamati ya kanuni ya bunge la katiba
kabla kufuatiwa na hatua nyingine. Sudi Mnette amezungumza na mmoja kati
ya wajumbe wa bunge hilo, Salma Said ambapo kwanza alitaka kujua pamoja
na kasoro zilizokuwa zikijitokeza katika mchakato huo na hasa tafrani
ya jana katika michango wa baadhi ya wabunge kitaka suala la muungano,
hali jumla ikoje? Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za
masikioni hapo chini
No comments:
Post a Comment