
Hapo jana ikatokea waandishi kadhaa kushambuliwa kwa kipigo na polisi walipofika makao makuu ya polisi kufuatilia tukio la kiongozi wa chama cha upinzani kuitwa mujibu maswali kuhusu madai ya kuchochea ghasia. Je hatua zipi zichukuliwe kuepusha matukio ya aina hii?
No comments:
Post a Comment