welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Wednesday, 17 September 2014

AK CLASSIC WAJA NA MALI MPYA

HIZI CHIPS MAYAI BALAA SANA..YAANI VITAMBO DAH!ANYWAY CORSET ITAKUSAIDIA KURUDISHA TUMBO KADRI UNAVOIVAA NDIVYO LINAVYORUDI..AS LNAKUKUWA INAKUSAIDIA KUCONTROL CHAKULA NA VITU KAMA IVYO..AYA SASA NI WAKATI WA KURUDISHA MVUTO WAKO!!WALE TULIOTOKA KUJIFUNGUA HAO HATA NISIPOSEMA NYIE NDIO NO. 1 WAHANGA!!SIZE ZOTE ZIPO!!
WALE MABINGWA WA COSMETICS ZA UKWELI KUTOKA USA, @AK CLASSIC COSMETICS SAFARI HII WAMEKULETEA BIDHAA ULIZOKUWA UNAZIMISS KUZIPATA HAPA BONGO.JAMANI NGOZI ZETU KWA SABABU MBALI MBALI ZIMEKUWA ZIKIBADILIKA IWE NI UJAUZITO=<MARA UNYWELE UNALETA SHIDA<MARA WEUSI KWAPANI> MARA MIWANI>,MARA NGOZI INAFUBAAA!!>HUKU MWILI MZIMA UKITOKWA NA MICHIRIZI!!>HUKU TUMBO LINAGOMA KURUDI!! SASA UNAHANGAIKA UMESHATUMIA VITU KIBAO BILA SULUHISHO!!HAYA MATATIZO HAYAWAHUSU WALIOJIFUNGUA PEKE YAO TUKO WENGI....
EM TUPITIE HAPA ..
KWA MAELEZO YA KINA KWA KILA BIDHAA TUPIGIE SIMU....

 KUWEKA ODA NA KUFIKISHIWA BIDHAA MPAKA ULIPO PIGA  0753-482909/0713-468393.
WAPO KINONDONI KWA MANYANYA NA SINZA KUMEKUCHA.

Pata uhondo wao insta@ak_classic_cosmetics

KARIBUNI SANA.
MAELEZO KILA PICHA!!
PICHA (MONTY16)
KUNA WAKATI UNATUMIA CREME INAFANYA VIZURI LAKINI KUNA SEHEMU ZINAGOMA,MARA NGOZI INAUNGUA,MARA MIWANI,MARA SHINGO NYEUSI,MARA KWAPA JEUSI WALE MLIOTOKA KUJIFUNGUA MNANIELEWA ZAIDI KUHUSU HII!!LAKINI HATA SIE WENGINE...SASA HII IMEKUJA KUFUTA VILIO VYETU!!HII KITU IKO SET KAMILI UKIJA DUKANI TUTAKUELEZEA JINSI GANI UTAFANYA!!
PICHA (MAMAMIO16)
MAMA MIO HII NI KIBOKO YA MICHIRIZI!HASA HASA  MICHIRIZI AMBAYO HAIJAKAA MUDA MREFU NA HASA ILE YA UZAZI....IMETHIBIKA KUFANYA KAZI KWA KIWANGO CHA HALI YA JUU..WATU WENGI WALIOTUMIA MAMA MIO WAMEZIKUBALI.. ZITUMIE KWA PAMOJA AMA KWA HAKIKA HUTOJUTA!! ..NAJUA MPO WENGI MLIOKATA TAMAA LAKINI KWA HII ITARUDISHA SMILE LENU!!NJOO DUKANI UPATE VITU TOFAUTI UTAKUBALI!!
PICHA (MAKARISET16)
NANI ASIYEJUA BALAA LA CARROT KWENYE SUALA ZIMA LA NGOZI!!WENGI HUWA TUNATUMIA VITU NUSU NUSU...YAANI UNAKUTA UNA LOTION TU AMA SABUNI TU!!NI SAWA ILA KAMA UNATAKA KUPATA MATOKEO MAZURI SHURTI UPATE SET!!NDIO MAANA UNAKUTA MTU ANANG'AA SAWA LAKINI NGOZI NGUMUUUU!!UKIIPIGA MBAO RANGI MBAO BILA KUANZA NA MSASA UNATEGEMEA NINI?NADHANI IMEELEWEKA UMUHIMU WA KUWA NA SABUNI,SERUM,CREME NA LOTION!!HATA RANGI YA CHUNGWA HIYO!

PICHA (CANTU16)
KATI YA BIDHAA CHACHE SANA ZA NWELE AMBAZO UKIZITUMIA..LAZIMA USEME WOW!!YAANI HUTOJUTA HATA KIDOGO!!CANTU HUYU BWANA SIJUI NIMSEMEJE ILA UKITAKA UNYWELE USIMAME FULL KUNG"AA HUYU NDIEE,T444Z HII HABARE YA MUJINI KILA MTU ANAMJUA.SASA HUYU JAMAICAN BLACK CASTRO OIL NADHANI NDIO ANAKUJA KUFUNIKA OMG..YEYE ANAENDA DEEP MPAKA KUKUZA KOPE NA NYUSI...DAH EM NJOO #AKCLASSIC HARAKA UNAPITWA UJUE!!
PICHA (CORSET16)
HIZI CHIPS MAYAI BALAA SANA..YAANI VITAMBO DAH!ANYWAY CORSET ITAKUSAIDIA KURUDISHA TUMBO KADRI UNAVOIVAA NDIVYO LINAVYORUDI..AS LNAKUKUWA INAKUSAIDIA KUCONTROL CHAKULA NA VITU KAMA IVYO..AYA SASA NI WAKATI WA KURUDISHA MVUTO WAKO!!WALE TULIOTOKA KUJIFUNGUA HAO HATA NISIPOSEMA NYIE NDIO NO. 1 WAHANGA!!SIZE ZOTE ZIPO!!

No comments: