welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Monday, 22 February 2016

Wema Sepetu asema ataendelea kukaa kimya,ila muacheni Lulu.

wema na lulu
Mastaa ambao wamekuwa wakichonganishwa kwa muda wanazidi kukataa kuonyesha tofauti zozote kati yao, Wema Sepetu amewaponda wanaomsogeza movie staa Lulu kwenye mambo ya mahusiano ya Wema Sepetu.

Haya maneno ya Wema kuhusu issue hii “Leave Her out of This… Please….!!!! @elizabethmichaelofficial Lala kwa Amani baby… Nimesema mimi… People dont know mwanzo wa vitu ila wanaongea as if wanayajua… Mi ntaendelea kukaa kimya ila muacheni huyu mtoto please…

No comments: