welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Thursday, 11 December 2014

PICHA YA ZARI WA DIAMOND NA WANAWE WAKILA BATA


                                                                                                                               Kuvuja kwa mkanda wake wa ngono hakujamzuia Zari ‘the Bosslady’ Tlale kufurahia muda bora na wanae wakati huu wa likizo za sikukuu za Christmass. Zari mwenye watoto watatu, ameonesha kutoyumbishwa na kusambaa kwa mkanda huo na leo amepost picha akiwa na wanae wakifurahia chakula

No comments: