welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Sunday, 14 December 2014

WEMA SEPETU SITAKI MNIINGILIE MAISHA YANGU, NAAMUAMWENYEWEMwingizaji wa filamu, Wema Sepetu aliyasema hayo baada ya baadhi ya watu wanao m-follow mitandaoni kuanza kumtukana na kukosoa kila kitu anachokiweka eti kwasababu tu hawampendi.
Baada ya mamba haya kuendelea kwa mda kidogo, hasa baada ya yeye kuachana na aliekuwa mpenzi wake, Diamond Platnumz, 
hatimaye Wema aliwatolea uvivu na kuaonge meneno makali kuwa wote wasio mpenda wa ache kum-follow kwani hakuna wakumwambia nini akiweke au asikiweke mtandaoni na hayo ni maisha yake hakuna wakumpangia. Wema alisema;

"My Life... My Rules... You dont like it Unfollow me.... Jus a quick reminder.... Jamani this be my own account.... My personal account... So nitamtag yoyote ninayetaka kumtag.... na bado siku ntatag watu mtashangaa maana sasa naona tunaingiliana mpaka kwenye kupost.... Akha...!!!! Hivi lini mmeskia nafatilia mtu kwenye post zake... Tusiingiliane jamani tafadhal... nat kwenye simu yangu.... I post watever I want, wenever I want, however I want.... u gat a prob...? Deal wit it.... Talk abt entertaining people sijui wanaotukana... I can entertain anybody I want....!!!! Period.....!!!! Afu pia tusifundishane namna ya kuishi aswell.... Like I said my life, my rules...."
Hatua ya Wema kutoa kauli hii ilizua mdaja marefu sana, wapo walio muunga mko Wema kwasababu ni kweli kunawatu wamezidi kufanya vitendo ambayo sio vya kistaarabu hata kama mtu haumpendi sio lazima um-follow naanze kutema mbaya, ila wapo waliosema azi-BLOCK baadhi ya akaunti za watu ambao wanafahamika kuawa ndio wanao chafua hali ya hewa nakuzitaja kabisa kwa majina. Ila wapo walio mpa moyo kwamba ustaa ni nzigo la mwiba kwa hiyo yeye awaache tu na mashabiki kwa mashabiki wata malizana wenyewe kwa wenyewe yani wale wanaomopenda wa wasiompenda awaacha wavutane.
Hili swala la watu kuchafua page za watu huko mitandaoni kwa lugha chafu sio kitendo kizturi hata kama mtu haumpendi sisi kama bongomovies.com kwa nguvu zote tunakemea vitendo kama hivi. KAZA MOYO WEMA.

No comments: