welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Sunday, 14 December 2014

MTANGAZAJI WA RADIO CLOUDS FM DIVA LOVENESS AWAPA MAKAVU LIVE TEAM WEMA SEPETU HAMNILSHI HAMNIVISHI THEN MY LIFE MY RULES


Mtangazaji wa Clouds Diva Ameamua Kufunguka Haya Kwenye Page yake ya Instagram Kuhusu Team Wema na Team Zari :
'lemme just say this maana naona tunaingiliana. goes straight to Team wema ambao huwa mnakuja nitusi humu, wale ambao hufanya hivyo. guys mie sio team wema wala sio team zari Ok? i dnt hate any of them sababu i have a life to live i have my life to live. if i love nyimbo ya msanii nakuanza msifia ni mie sio nyinyi haviwahusu. msinipangie maisha or what to post. kama nampost zari ni mie nimeamua, kama nampost mtu yoyote ni mie. unlike you guys nat blinded with hate at all coz i have My life to live. This is My page tusiingiliane and making dis very clear. i dnt beef.... i do me dats Ol. so niwe mnafiki niwe sijui what what ni mie. niacheni. msitake niwe kama nyie hating bila sababu ya msingi i dnt do that....... so nikitaka mpost yeyote nitampost yoyote vile ninavyojisikia. hatulingani .. we dnt even think the same. sina fikra finyu mie ati. fanyeni yenu coz siwaamulii what to post. 
tuheshimiane....... endeleeni kutukana coz dats what you good at. but again sitaki any side za mambo ya hao watu and ntapost lolote ninalojisikia as long as nat harming nobody. i dnt hold grudges mimi in my life and sina team yoyote nikipenda kitu ntakuwa team hicho kitu muda huo huo. ningekuwa nawaomba chumvi kwangu kweli sijawahi waomba chumvi wala msaada wowote hamnilishi hamnivishi then my life my rules .. my page i run this tusipangiane Sitaki na mie sio Kioo cha Jamii ya Range Rover wala vitz pia sitaki kupangiwa sheria na maisha yangu binafsi hasa ya mitandao. sitaki. fanyeni yenu mbona siwaingilii mbona hamna adabu kiasi cha kuniingilia mambo yangu. mmezoea tukania mama yangu fine. she is in heaven kapumzika Peacefully. tusizoeane kiivyo siko hivyo mie sizoeleki. khaa... wewe ni nani ukae instagram Kuhukumu, Only God Can Judge me si zaidi. sorry kwa mtaoboreka leo. Team wema stop Being Termagant...... nat for me ey. hamna adabu kiasi cha kutaja viungo vya wazazi ambao pia nyie mnao mmezaliwa pia. ukinitusi mie ni sawa na una mtusi mzazi wako Jiheshimuni heshima ni kitu cha bure. mniwache plz sitaki pangiwa hasa kuchukia yoyote. sitaki huo utoto sita entertain.' Says Diva

No comments: