welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Thursday, 4 December 2014

MKAO WA KULA! ALIKIBA AENDA CAPE TOWN.SOUTH AFRICA KUSHOOT VIDEO MPYA!


Inavyoonekana staa huyo amekwenda kushoot video ya wimbo wake ‘Mwana’ uliotoka miezi kadhaa iliyopita.
Kiba ameshare picha kadhaa kwenye Instagram akiwa location huku moja anaonekana akiwa na dancers wa kike. 

http://www.rahatupu.us/

No comments: