welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Tuesday, 25 November 2014

MTANGAZAJI WA TIMES FM DIDA AINGIA AIBU YA MWAKA UKUMBINI...KIGAUNI CHA MUUMBUA KWA % 99.9


Weka mbali na watoto! Prizenta asiyekaukiwa matukio wa Kituo cha Redio Times FM cha Jijini Dar, Khadija Shaibu ‘Dida’ anadaiwa kutia aibu ukumbini baada ya kutaka kuzikunja na Master of Ceremony (MC) kisha kuumbuliwa na kigauni cha kihasarahasara alichokuwa ametupia.
Prizenta asiyekaukiwa matukio wa Kituo cha Redio Times FM cha Jijini Dar, Khadija Shaibu ‘Dida’.Tukio hilo lililoibua gumzo lilijiri wikiendi iliyopita kwenye shughuli ya ya kuzaliwa (birthday) ya shosti wake ambaye ni mtangazaji wa Kipindi cha Mcharuko wa Pwani kupitia Kituo cha Redio Planet FM cha mkoani hapa, Warda Makongwa

No comments: