welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Monday, 13 October 2014

WAFANYAKAZI BENKI WAANGUA KILIO: BAADA YA MFANYAKAZI MWENZAO KUFARIKI KWENYE AJALI


 Wafanyakazi wa Benki moja hapa nchini wamekumbwa na simanzi iliyosababishwa na kifo cha mwajiriwa mwenzao kilichotokana na ajali iliyotokea jana jioni huko Hedaru, Wilayani Same mkoani Kilimanjaro iliyohusisha gari lenye namba za usajili T653 BZR na basi la Happy Nation.
Imeripotiwa kuwa watu wote wanne waliokuwemo ndani ya gari dogo walipoteza uhai papo hapo.
Picha zilizopachikwa hapo chini zinaonesha jinsi gari hilo dogo lilivyoharibika vibaya baada ya ajali. 

No comments: