welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Thursday, 9 October 2014

MENINAH AMWANIKA DIAMOND TENA!! AFUNGUKA MENGI KUHUSU MAHUSIANO YAO,AELEZA JINSI WEMA ALIVYO MPA PRESHA

Kwa mara ya kwanza tangu wadaiwe kuwa nba mahusiano ya kimapenzi na Menina Atik a.k.a Menina la diva na Nguli wa Bongo Fleva nchini Nasib Abdul 'Diamond' hatimaye ukweli umepatika  baaada ya kuzinasa meseji za meninah alizofunguka kususu mahusiano yake na Diamond.
Meseji hizo zimenaswa kutoka kwenye simu ya Meninah ambaye alikuwa akichati naye kuhusu mwenendo mzima wa Mahusiano yake na Diamond kupitia "Chating" hizo Meninah amekiri kwamba Diamond alimtaka kimapenzi na alifikia hatua ya kujitambulisha nyumbani kwao kwa nia ya kumuoa lakini alimtolea njekwa sababu tayari alikuwa na mchumba mwingine na alishavishwa pete.
Aidha,Menina aliendelea kubainisha kwamba diamond alianza kulifukuzi penzi lake toka 'Long time' toka alivyokuwa na mpenzi wake Nasri,Diamond aliendelea kupiga Nyayo Nyumbani kwao kila siku
"Alikuwa akinisumbua toka niko na mpenzi wangu Nasri mpaka nimeachana naye mpaka leo ananitaka"Alifunguka meninah katika moja ya meseji hizo
aliendelea kufunguka na kusema kuwa Diamond alionyesha hisia zake kwa kupeleka taarifa kwenye moja ya magazeti ya udaku kwa minajili ya kumlegeza ili akubali kuwa mpenzi wake.
"Sasa yeye(Diamond) akadhani kwamba anitoe kwenye magazeti labda mimni nitaogopa then nitajikuta niko nae, mimi diamond simtaki.....akaa...kwanza wa nini!"
Hata hivyo meninah aaliitaja sababu nyingine ya kumpiga chini diamond akisema kwanza tayari yuko na wema na mimi Wema nam-respect halafu amevishwa pete na mchumba;angu nimsaliti yanini ninayempenda.....

akangeza na utani"Domo lake lile nitalipeleka wapi;he is noteven cute.......we cant match."Habari ndiyo iyo!!!"

No comments: