welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Tuesday, 14 October 2014

KUTOKA JAMII FORUM:Banana Zoro rudi kwenye muziki tumechoka na kelele za Diamond

BANANA ALI ZORRO

BAADHI YA MANENO KUTOKA KWA WAPENZI WA BANANA
Kwakweli mimi kama mpenzi wa Muziki na siyo ushabiki maandazi kwa vijana wa Kitanzania hakuna mwanamuziki zaidi ya Banana Zoro huyu ni super vocalist.
Wadau wa muziki tujurishane huyu kijana yuko wapi? Bongo movie siyo level yake kabisa, nadhani Banana kwa sasa angekutanishwa na Christian Bella wadau wa Muziki tungepata burudani ya uhakika mfanyabiashara Diamond aendelee na biashara zake ya mchiriku na kuwanunulia mazuzu wake Vitecno vya kuja kupiga kelele hapa ila tunaojuwa Muziki na siyo play back, wenye uwezo wa kutuburudisha ni Banana Zoro na Christian Bella tu kwenye live music. Huu ndio ukweli.

No comments: