welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Tuesday, 14 October 2014

HAIJAWAHI TOKEA TZ: NAY WA MITEGO AJA NA UBUNIFU HUU MPYA!


Akiongea na 255 kwenye kipindi cha XXL, Clouds FM, Nay amesema pamoja na kufanya muziki yeye ni mfanyabiashara na anaamua kuwekeza ili hata kama muziki ukigoma awe ni kitu cha kumuingizia kipato. 
“Nimeamua kutengeza madaftari yangu, kuna madaftari ya Mr Nay yatakuwa yanatoka. Ni madaftari ya kawaida na counter books ambazo zitakuwa zikisambazwa kuanzia nursery, primary, sekondari mpaka vyuo.Nay amesema tayari ameshapata tenda ya kusambaza vifaa hivyo mkoani Mara. “Ni kitu ambacho tayari kiko confirmed,” amesisitiza.
Amesema madaftari hayo yataingia sokoni mwishoni mwa mwezi wa 12.

No comments: