welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Monday, 13 October 2014

KIVAZI CHA SAJENT CHAZUA BALAA UKUMBINI!Haijakaa poa! Katika kuonesha kwamba anakwenda na fasheni za mambele, staa wa sinema za Kibongo, Husna Idd ‘Sajent’ amezua balaa baada ya kutinga kivazi kilichomuacha wazi sehemu kubwa ya maungo yake.Staa wa sinema za Kibongo, Husna Idd ‘Sajent’.
Tukio hilo lililoshuhudiwa na mwanahabari wetu lilijiri hivi karibuni katika sherehe moja kwenye Ukumbi wa Dar West uliopo Tabata, Dar ambapo Sajent  alikuwa ametinga gauni ambalo liliacha wazi sehemu ya matiti na mapaja.
Kufuatia kigauni hicho, baadhi ya watu walibaki wakimshangaa na kumzungumzia huku wakijiuliza kwa nini alitinga kigauni hicho lakini mwenyewe aliendelea na yake.

No comments: