welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Monday, 13 October 2014

DIAMOND AMPONGEZA NUH MZIWANDA.. ATOA KAULI NZITO KUHUSU NUH

MSANII NYOTA WA BONGO FLEVA DIAMOND AKIMPONGEZA NUH MZIWANDA JUKWAA BAADA YA KUPIGA BONGE LA SHOW AMBAYO IMLIFANYA DIAMOND KUSHIDWA KUVUMILIA NA KUPANDA JUKWAANI NA KUMPA SAPOTI NA KUTAMKA WAZI KWAMBA NUH MZIWANDA NI.MSANII AMBAYE ANAJITUMA SANA ANAPOPATA NAFASI NA PIA HUENDA AKAJA KUWA TISHIO SANA,KAULI HIYO ALIITOA WEKEND HII MKOANI DODOMA KATIKA UKUMBI WA MATEI LOUNGE:cdt:boss ngasa tz

No comments: