welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Monday, 13 October 2014

BIASHARA YA NYETI ZA KIUME INALIPA SANA - MAIMATHA "JESSE" AFUNGUKA.

Mtangaziji wa kike ambaye sasa anapiga kazi katika kituo cha Redia E Fm cha jijini Dar Maimatha Jesse 'Mai'hivi karibuni alifichua siri ya kuwa na mafanikio nje ya utangazaji kuwa ni biashara ya nyeti bandia za kiume na kudai kwamba zinalipa.Bila wasiwasi,Mai alitoboa siri kwamba bishara hiyo ilimpatia pesa nyingi kutokana na wanaume wengi kuwa na matatizo ya nguvu za kiume na kushindwa kuwaridhisha wapenzi wao hivyo kuwafanya kutumia nyeti hizo.
Alisema nyeti bandia zinazolipa ni zile zinazotumia umeme na zenye mitetemo.
Mtangazi huyo alisema hata hivyo alifanya biashara hiyo kabla ya kuolewa hukuakishindwa kueleza kama bada anaendelea kuifanya au la.
"Ilikuwa ni harakati tu za kutafuta maisha.kifupi iliniingizia pesa ya kutosha sana.Hata hivyo nimeamua kurejea katika fani yangu ya utangazaji upya.Naomba mashabiki wanipokee kwani natarajia kufanya maajabu katika kipindi changu kipya cha Khanga"alisema

No comments: