welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Friday 3 October 2014

BATULI: SIJAVUNJA UCHUMBA WA ROSE NDAUKA

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiemUlmZMCd3CLyCSc93Qo2M-2H9nMjw-yNZCn3RbaWkPPisHF6zXCUtq7VwFGrpsDzldewuHSNRHFXSjJXMW44nwnUrmDnr0hAZD3G-p6v-ZFZhkJiOsFqerNu3q846n589DeVcFoQQ7c_/s640/427748_328749820500973_1599146494_n.jpgRHODA JOSIAH
MSANII wa filamu Bongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ ameshangazwa na madai kuwa, anahusika kuvunjika kwa uchumba wa msanii mwenzake Rose Ndauka na kueleza kuwa hayo ni maneno ya watu wasiomtakia mema.
                             Msanii wa filamu Bongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni kufuatia madai hayo, Batuli alisema hajawahi kuwa na uhusiano wowote na bwana wa Rose (Malick) na kwamba ukaribu wao ni wa kikazi tu.                                     Msanii wa filamu Bongo, Rose Ndauka.
“Jamani siwezi kutoka na mchumba wa Rose kutokana na kwamba ni mtu ambaye namheshimu sana na tumekuwa tukifanya kazi na Rose bila matatizo yoyote. Hizi taarifa zinanishangaza na najua wanaozieneza hawanitakii mema,” alisema Batuli.

No comments: