welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Sunday 28 September 2014

STEVE NYERERE ANUSURIKA KIFO KWENYE AJALI


 ALIYEKUWA mwenyekiti wa Bongo Movie,Steve Mengere,’’Steve Nyerere hivi karibuni alinusurika kifo baada ya kupata ajali ya gari hivi karibuni maeneo ya Kinondoni. Akizungumza jijini Dar alisema kuwa alivamia gari kwa nyuma maeneo ya Morroco, Kinindoni,lakini hakuumia ila gari lake liliharika upande wa…Akizungumza jijini Dar alisema kuwa alivamia gari kwa nyuma maeneo ya Morroco, Kinindoni, lakini hakuumia ila gari lake liliharika upande wa mbele.

No comments: