welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Wednesday 10 September 2014

SIMBA SC KUPIGA NDEGE WAWILI KWA JIWE MOJA MWISHONI MWA WIKI


Mshambuliaji wa Simba sc, Paul Kiongera akiruka sarakasi baada ya kuifungia Simba bao katika mechi dhidi ya Gor Mahia jumamosi iliyopita
Na Baraka Mpenja, Dar es salaam
HAKUNA masihara kabisa!, hivyo ndivyo unavyoweza kusema. Wekundu wa Msimbazi Simba, chini ya kocha Mzambia , Patrick Phiri,  watakipiga katika mechi ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya URA ya Uganda uwanja wa Taifa,  jijini Dar es salaam.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com

No comments: