welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Wednesday 10 September 2014

Watu wawili wanaidaiwa kufariki kufuatia ajali ya Basi la Super Feo kuacha njia na kugonga mti

Sehemu ya basi hilo la Super Feo lionekanavyo pichani likiwa limepondeka pondeka baada ya kuacha njia na kugonga mti

Baadhi ya Wasomalia wema wakiwasaidia majeruhi waliopatwa na ajali ya basi hilo

Watu wawili Wanadaiwa kupoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa vibaya kufuatia ajali mbaya iliyotokea leo  katika  eneo la  Sanangula nje kidogo ya mji wa Songea mkoani Ruvuma,ikilihusisha basi la Super Feo linalofanya safari zake kati ya Songea - Makambako lililoacha njia na kugonga mti. Aidha inaelezewa kuwa chanzo cha ajali hiyo kinadaiwa kuwa ni mwendo kasi.

No comments: