welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Wednesday 10 September 2014

BALOTELLI NA ‘UKICHAA WAKE” ABAKI KICHUPI NJE-NJE MAZOEZINI

Mario Balotelli appeared to have problems keeping his shorts up as he trained at Melwood
Mario Balotelli alionekana akivua bukta yake katika uwanja wa mazoezi wa Melwood
UTUKUTU wa Mario Balotelli usikie tu. Huyu jamaa ni noma sana.
Wakati mazoezi leo, nyota huyo mwenye miaka 24 alionekana kuhangaika na kaptula yake akiivua baada ya mazoezi na kubaki ‘kichupi’ nje.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com

No comments: