MSICHANA WA KAZI ALIYEMPIGA MTOTO AFUNGUKA MAZITO!
Baada
ya story ya yule msichana kwa anayefanya kazi za ndani Uganda kuchukua
headlines katika vyombo mbalimbali vya Kimataifa Duniani, leo kipo
ambapo amekizungumza kwa mara ya kwanza tangu afanye kosa hilo baada ya
jana kumuomba samahani mtoto huyo. Msichana huyo Jolly Tumuhiirwe ambaye
kwa sasa amekamatwa na Polisi amesema sababu iliyomfanya amtese mtoto
Arnella Kamanzi, ni kutokana na kuchanganyikiwa baada ya waajiri wake
kutompatia pesa ili amtumie baba yake ambaye alikuwa anaumwa.
No comments:
Post a Comment