
Ndinga aina ya Nissan Murano alilozawadiwa supastaa Wema Sepetu na aliyekuwa mchumba wake, Nasibu Abdul ‘Diamond'.
LILE ndinga aina ya Nissan Murano alilozawadiwa supastaa Wema Sepetu
na aliyekuwa mchumba wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’, limeanza kumchefua
mrembo huyo kiasi cha kulisusa.
Tukio hilo lilijidhihirisha wazi mbele ya paparazi wetu juzikati
nyumbani kwa staa huyo, Kijitonyama jijini Dar, ambapo Wema alitamka
hadharani kuwa kwa sasa analichukia kupita maelezo gari hilo
alilozawadiwa na Diamond kwenye sherehe yake ya kuzaliwa.
No comments:
Post a Comment