Madaktari
kwanza walijaribu kupunguza kasi ya damu kwa kijana huyo, Jason
Garnett, kwa kupiga sindano 24 moja kwa moka kwenye nyeti zake.
Tovuti ya Metro imesema 'mashine' ilisimama kuanzia siku ya Ijumaa asubuhi alipoamka. Kijana huyo, 23, alijaribu kila aina ya njia, ikiwemo kukimbia, na kuoga maji ya baridi sana, kabla ya kupelekwa hospitali na rafiki yake.
Hospitali iligundua kuwa Garnett alikuwa na maradhi ambayo ni haba kuonekana yajulikanayo kama priapism - ambapo uume husimama bila kukoma. Maradhi hayo hayasababishwi na hamu ya kutaka kufanya mapenzi, lakini iwapo mtu hatopata tiba, inaweza kuharibu uume, imeripoti tovuti ya News.com.au.
Akizungumza na gazeti la The Sun, amesema:

Amesema baada ya sakata hilo, nyeti yake ina majeraha 'kibao'.
No comments:
Post a Comment