Mtoto wa Nay akiwa na bibi yake
Mchumba wa rapper Nay wa Mitego, Siwema amejifungua mtoto wa kiume jana ambapo pia ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa mama wa msanii huyo.
Mchumba wa rapper Nay wa Mitego, Siwema amejifungua mtoto wa kiume jana ambapo pia ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa mama wa msanii huyo.
Kupitia
ukurasa wake wa Instagram, Nay ameandika:Ooooooh my goooooood!!!! Leo ni
cku ya kuzaliwa mama angu mzazi,,, tukiwa 2nakata cake napigiwa cm
nimepata mtoto wakiume… yani kazaliwa cku 1 na bibi yake,,! Hao apo
wamezaliwa leo… Asante Mungu..
Nay wa Mitego akiwa na mpenzi wake Siwema
No comments:
Post a Comment