Maafisa
wa DICOTA wakihakiki usajili wa wadau waliofika mapema leo siku ya
Alhamisi Oct 2, 2014 tayari kwa DICOTA 2014 Convetion.
Wadau
wakifuatilia usajili wao kuhakikisha kila kitu kipo sawa wadau wawili
kushoto ni Suleiman Zanangwa na Focus wawakilishi wa Tanzania Ports
Authority
Msanii
wa vichekesho kutoka kundi la Zecomedy Masanja mkandamizaji akicheza na
simu yake kutupia mawili matatu kwenye mitandao ya kijamii akiwa nae
tayari kuwakilisha kwa mara ya kwanza katika historia ya DICOTA ndani ya
Durham, North Carolina.
Wawakilishi
toka Global Land Solutions toka Tanzania wakipata picha ya kumbukumbu
kama walivyokutwa na kamera ya Vijimambo kwa picha zaidi 











No comments:
Post a Comment