To my
beautiful ladies out there! if it was meant to be it will be, maana
wasichana wa sasa kwa kuwalazimisha wakaka wawaoe mmmh yaani unaji
squeeze mpaka basi, jamani muoneni huyu mmama kaishi na hubby wake kwa
muda mrefu mpaka alipoona anafaa ndo akaolewa, sio unakurupuka tu
nakujilamisha tulieni wasichana, huku hakufai kunahitaji uvumilivu wa
hali ya juu..... ni
ushauri tu unaweza ukaufanyia kazi ama ukauacha, hatukulazimishi maana
kuna usemi wanasema mtoto akililia wembe acha..... akishapata kidonda
ndio atakumbuka
No comments:
Post a Comment