EXCLUSIVE:CHRIS BROWN KUTUA BONGO KWENYE SERENGETI FIEST
Habari
zilizopo chini ya kapeti ambazo bado hazidhibitishwa ni kwamba yale
nyota wa R&B anayedwa na kukubalika na wengi ambapo umaarufu wake
umeweza kuongezeka mara dufu kutokana
na kutoka kimapenzi na Rihanna ... Ambapo wabongo wameweza kufananisha
mapenzi ya Diamond na Wema Sepetu ni kama Chris na Rihanna.. Sasa
unaambiwa Mazungumzo ya mwisho ya kukubaliana ndio yanafanyika na pia
kama watakubaliana vizuri Chris Brown kutua Bongo bila utata hiyo .. Na
kiingilio kikiwa sh elfu 50 wala ms
No comments:
Post a Comment