Na Mwandishi Wetu
BONDIA Ibrahimu Class 'King Class Mawe' won 11 (KO 4)
+
lost 1 (KO 0)
+
drawn 0
=
12 anaeshikilia mkanda wa WPBF Africa katika uzito
wa light welterweight amejitokeza hadharani na kusema kwamba mchezo wa
ngumi nchini Tanzania aulipi kutokana na malipo yake ni madogo bondia
huyo aliyefanikuwa kuwa bingwa baada ya kumpiga Mwansa Kabinga mpambano ulio fanyika june 8 mwaka huu huko Arthur Davies Stadium, Kitwe,
Zambia na kuibuka mshindi katika raundi ya tisa bondia huyo mwenye ndoto
ya kuwa bingwa wa dunia katika miaka ya hivi karibuni
Amesema
mabondia wa hapa nchini bado awajajielewa kutokana na kuto kuwepo na
wafadhili wa kutosha katika mchezo wa masumbwi ila ufadhili mwingi
unapelekwa katika mambo ya soka uku wakiuwacha mchezo wa masumbwi auna
mwelekeo na sapoti yoyote bondia huyo alijitamba kwa kujinasibu kuwa
kwa hapa nchini akuna bondia ambaye anaweza kumbabaisha katika kipindi
hiki kwani yeye kwa sasa yupo matawi ya juu bondia huyo anaefanya
mazoezi katika kambi ya Ilala ananolewa na jopo la makocha likiongozwa
na Habibu Kinyogoli 'Masta' kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi
nchini Rajabu Mhamila 'Super D' ameomba watu mbalimbali kujitokeza kumsaidia ili atetee mkata wake wa WPBF Africa alioupata Zambia ili awadhilishie watu kuwa uwezo alionao ni mkubwa sana katika masumbwi kingine ni wadhamini wajitokeze kumpa sapoti kwani ana uwezo wa kuwatangazia biashara mbalimbali ukizingatia yeye ni bingwa na bado kijana mdogo mwenye nia ya kufika mbali katika mchezo wa masumbwi nchini |
No comments:
Post a Comment