welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Monday, 22 February 2016

Video ya Zigo ya Ay Ft Diamond Platnumz itakuwa inachewa usiku tu kwenye tv.

Ay zigo coverKupitia kurasa ya TCRA ya twitter wametumia muda kidogo kumuelewesha msanii Ay kuhusu muda wa kuchezwa kwa video yake kwa mujibu wa sheria ya vyombo vya utangazaji.
barua 1barua 2

No comments: