welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Monday, 22 February 2016

Msanii wa Meek Mill aliyepigwa risasi kichwani azungumzia hali yake kwa sasa.

Chino-Dreamchasers
Msanii wa lebel ya Meek Mill ‘Dreamchasers’ Chino aliyepigwa risasi ya kichwa February 19 ameanza kuongea na mashabiki wake kwenye twitter.

Chino ameandika “Thank you everyone for all the love & support I’m recovering & getting well, Also wanna thank god letting me see another day!! #DreamChaser,God is great never underestimate his power,” Chino writes. “#DaChasers.
Chino ni mchezea pikipiki maarufu kama alivyokuwa Meek Mill na mara nyingi huitwa dirtbike rider.

No comments: