welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Thursday, 25 February 2016

Picha za Bien-Aime Baraza wa Sauti Sol na mpenzi wake Mnigeria

Bien 8
Mwimbaji wa Sauti Sol Bien-Aime Baraza ambaye amemuweka wazi mpenzi wake hivi karibuni amesema sababu za kuweka mapenzi yake siri ni tatizo lake Binafsi na sio kwamba hapendi watu wajue maisha yake ya kimapenzi.

Bein anajulikana kwa kulikimbia swali na Nani ni mpenzi wako kwenye kila interview ila mwaka huu kamwaga yote.
Mpenzi wake ni ‘Chiki Onwukw’ ambaye ni Mnigeria anayefanya kazi kama dancer na mwalimu wa Fitness.
Bien 2 Bien 4 Bien 5Bien 7

No comments: