welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Wednesday, 24 February 2016

Dogo Janja kutoa wimbo mpya?hiki ndicho kinacho trend kuhusu yeye..

dogo janja
Baada ya siku chache Madee kuthibisha kuwa kulingana na kalenda ya Tip Top mwezi wa pili ni wa Dogo Janja kutoa wimbo,mambo yameshaanza kunukia.

Kupitia akaunti yake ya Instagram Janja amepost picha yake iliyoandikwa “Mtazidi Kupenga Kisa Stress Mpaka totorojanja
Picha hiyo imekuwa ikipostiwa na mastaa mbali mbali kuonesha kwamba kuna kitu kinakuja,kama ilivyo desturi ya wasanii wanapotakana kutoa wimbo. janja3
janja2

No comments: