welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Sunday, 14 December 2014

MSANII WA BONGO MOVIE ANAYEDAI ANA MIKA10 HAJAFANYA MAPENZIMsanii wa filamu aliyejikita kumtumikia Bwana kwa nyimbo za Injili, Sara Mvungi.
MSANII wa filamu aliyejikita kumtumikia Bwana kwa nyimbo za Injili, Sara Mvungi amesema kuwa, amechoshwa na upweke wa muda mrefu kwa kuishi bila mwanaume kwa takriban miaka 10 kwa kuwa anasubiri Mungu amshushie mume mwema.Akitoa la rohoni kwa paparazi wetu, Sara alisema hajajihusisha na masuala ya mapenzi kwa kuwa wanaume wengi wanaomfuata hawaamini, wengi wao ni waongo hivyo anatamani Mungu amshushie chaguo stahiki litakaloufariji mtima wake.
“Ni kipindi kirefu sasa, tangu mwaka 2004 naishi bila mwanaume wala kufanya starehe ya mwili na kama unavyojua suala la zinaa bila ya kuwa kwenye ndoa halimpendezi Mungu na haliendani kabisa na ulokole nilionao, natamani sana kuolewa hata leo lakini sijamuona mkweli katika wote wanaonifuata,” alisema Sara.

No comments: