welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Wednesday 29 October 2014

NEY WA MITEGO NA MCHUMBA WAKE WAPATA MTOTO

10748202_881663258521951_1323233080_n
Mtoto wa Nay akiwa na bibi yake
Mchumba wa rapper Nay wa Mitego, Siwema amejifungua mtoto wa kiume jana ambapo pia ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa mama wa msanii huyo.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Nay ameandika:Ooooooh my goooooood!!!! Leo ni cku ya kuzaliwa mama angu mzazi,,, tukiwa 2nakata cake napigiwa cm nimepata mtoto wakiume… yani kazaliwa cku 1 na bibi yake,,! Hao apo wamezaliwa leo… Asante Mungu.. 
Nay wa Mitego akiwa na mpenzi wake Suwema
Nay wa Mitego akiwa na mpenzi wake Siwema

No comments: